Wild fauna JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 461 Reaction score 189 Feb 12, 2022 #1 Salamu wakuu. Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
Salamu wakuu. Nimepata wasiwasi baada ya kubonyeza kichwa cha uume nakuhisi kuna kama uvimbe kwenye mrija Wa uume. Msaada wenu na ushauri Tafadhali,ila sijapata maumivu yoyote
chisluk JF-Expert Member Joined Jul 27, 2016 Posts 555 Reaction score 552 Feb 13, 2022 #2 Yani umehisi tu kuwa una uvimbe baada ya kubinyeza?? Kama una wasiwasi we nenda tu hospitali huko ndipo utapata tiba sahihi
Yani umehisi tu kuwa una uvimbe baada ya kubinyeza?? Kama una wasiwasi we nenda tu hospitali huko ndipo utapata tiba sahihi