msaada/ ushauri wahitajika

okellecky

Member
Joined
Mar 16, 2013
Posts
67
Reaction score
8
Hello wana jamvi hope mpo biyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... Naomba ushauri wenu hapa , nmemaliza chuo tangu mwaka 2011 na tangu hapo nmejitahidi kutafuta kibarua bila mafanikio yoyote hadi sasa nmekata tama kabisa kwani wapo walioniponda eti sipo serious ktk kutafuta kaz na ndio maana hadi sasa sjapata wengine oooh labda umerizika na maisha ya nyumbani. Kwakweli maisha ya kitaani n magumu labda hawajui ndomana wanajiropokea hivyo but sio kesi kwani kila mtu anahakii ya kuongeo anavyojiskia yeye. SASA twende zetu kwenye point iliyonifanya nije hapa jf, kwa kifupi nimechoka kitaani panachosha askwambie m2. Nimekuwa na wazo la kufanya biashara nimepata kijisent kidogo kama 1M tshs ila bado sjui nifanye biashara gani kwa mwenye idear ya biashara ambayo nawezakufanya kwa huu mtaji wa 1m nlionao na ikanitoa naomba anishauri. Natanguliza shukrani zangu za dhati najua hapa jamvini hakuna linaloshindikana. kwa makazi npo dsm naomba nieleweke vzr naomba ushaur npo serious kwa wale wenye idear na experience ya bsness. :help::help::help:
 
Nina idea na ushauri unaoutaka lakini sijui nianzie wapi detail zako hazijakamilika, umemaliza chuo ulikuwa unachukua nini? unasema una m1 na umekuwa mtaani hadi umechoka kweli haujaon nafasi yoyote ya biashara hapo kitaa haujaona hata labda saloon za kiume ni za kizamani sana ukaboresha? haujaona labda hakuna mgahawa wa watu kunywa juic na bites ili na wewe ufanye? kweli? kama haujaona chochote kitaa basi bado haujawa tayari kuanza ujasiliamali subiri hiyo hela endelea kukaa nayo tu ila sasa anza kuangalia opportunity kwa eneo ulilopo itakusaidia sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…