Hello wana jamvi hope mpo biyeeeeeeeeeeeeeeeeeee.... Naomba ushauri wenu hapa , nmemaliza chuo tangu mwaka 2011 na tangu hapo nmejitahidi kutafuta kibarua bila mafanikio yoyote hadi sasa nmekata tama kabisa kwani wapo walioniponda eti sipo serious ktk kutafuta kaz na ndio maana hadi sasa sjapata wengine oooh labda umerizika na maisha ya nyumbani. Kwakweli maisha ya kitaani n magumu labda hawajui ndomana wanajiropokea hivyo but sio kesi kwani kila mtu anahakii ya kuongeo anavyojiskia yeye. SASA twende zetu kwenye point iliyonifanya nije hapa jf, kwa kifupi nimechoka kitaani panachosha askwambie m2. Nimekuwa na wazo la kufanya biashara nimepata kijisent kidogo kama 1M tshs ila bado sjui nifanye biashara gani kwa mwenye idear ya biashara ambayo nawezakufanya kwa huu mtaji wa 1m nlionao na ikanitoa naomba anishauri. Natanguliza shukrani zangu za dhati najua hapa jamvini hakuna linaloshindikana. kwa makazi npo dsm naomba nieleweke vzr naomba ushaur npo serious kwa wale wenye idear na experience ya bsness. :help: :help: :help: