Msaada: USB yenye window haionekani

mwilawi

Senior Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
139
Reaction score
89
Naomba wataalamu wa ubuntu mnisaidie, niliinstall ubuntu kwenye pc yangu hp pavilion kwa kutumia bootable usb. Kwa sasa nataka kuinstall window kwa kutumia bootable USB.

Nimejaribu mara kadhaa kuboot lakin naona siioni USB ambayo inakuwa na window na usb hiyo hiyo nikiweka file la iso la ubuntu kwenye kuuboot inadetect. Niasaidieni ili pia kwa iso ya window iweze kudetect.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…