Umesikika, ila umechelewa kuweka tangazo. Siku nyingine inapotokea jitahidi kuweka mapema, inawezekana walioiba wameshatupilia mbali vitambulisho na kubakia na zaga ambazo kwao ni muhimu.
Nisikukatishe tamaa, tuweke matumaini kuwa mtafanikiwa kupata vitu vyenu.
Namalizia kwa kukupeni pole