Msaada unatakiwa amepotelewa au kuibiwa kikatio udasa 22 08 2015

Apr 22, 2009
27
1
Ndugu wote wana jamii forums.

Dada mmoa anaomba msaada kwa yeyote ambae amebahatika au atabahatika kukiona kitambuliho cha mpiga kura ambacho kimepotea au kuibiwa na vitu vingine ambavyovilikuwa ndani ya pochi ya mkononi
tarehe 22 08 2015 pale udasa chuo kikuu ca dar es salaam akiwa katika kikao cha jumuiya.

Jina lake sicola chambila kilitolewa ofisi za serikali ya mtaa kigogo mbuyuni.

Zawadi ndogo itatolewa

simu 0763 3028 37

anatanguliza shukrani
 
Umesikika, ila umechelewa kuweka tangazo. Siku nyingine inapotokea jitahidi kuweka mapema, inawezekana walioiba wameshatupilia mbali vitambulisho na kubakia na zaga ambazo kwao ni muhimu.

Nisikukatishe tamaa, tuweke matumaini kuwa mtafanikiwa kupata vitu vyenu.

Namalizia kwa kukupeni pole
 
twatwatwa

hutendi haki Kitambulisho cha mpiga kura hakina chama ila mwenye kitambulisho chama chake kiko moyoni mwake

wewe toa msaada ni ombi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom