themathematicalmodelling
Senior Member
- Feb 2, 2018
- 174
- 333
Habari za jioni wadau,
Mbeya university of science and technology wametangaza nafasi za uhamisho kwa public servants na mdogo wangu alireport kazini two weeks ago so naomba msaada au ushauri je anaweza omba hizo transfer request MUST? na je kati halmashauri na must wapi pazuri zaidi kwa ICT officer?
Mkuu na wewe una ICT? Yes ni PMMwambie na mm aniangalizie nafasi
ndio na mimi nina ICT
Na no zangu ni 0763473267 kama kuna issue tuambizaneendio na mimi nina ICT
UTUMISHI huchukua mda gani kujibu barua za Uhamisho?Kuna mtu alipeleka barua ya kuhamia Mloganzira mpaka Leo toka Mwaka Jana mwezi wa tisa hawajamjibuNi hivi kinachotakiwa ni mwajiri wake ampitishie barua yake basi anakubaliwa kuhamia MUST..
Kwa mtazamo wangu MUST ni kuzuri zaidi ukiachila mbali kwamba ni chuo anaweza kujiendeleza kwa urahisi kuliko halmashauri.
Namshauri huyo mdogo wako aombe, Aongee vizuri na ma hr wa halmashauri wampitishie barua asepe zake.
Uhamisho huu ni rahisi sana UTUMISHI watakuwa wameubariki
Aombe hizo nafasi kwa kuwa ni Chuo Kikuu hata Salary Grade ya Taasisi kama hizo ni tofauti na LGAs/RSs (Wilaya/Halmashauri/Mkoa) Mimi namshauri aombe hizo transfer kwani pamoja na kupata Salary pia kuna fursa nyingi za ufadhili kimasomo tofauti na akiwa Ofisi za Mkoa au Halmashauri. Atume maombi maana Tangazo linasema watakaobahatika WANATAKIWA KUOMBA KIBALI CHA UHAMISHO WAKIPITISHA BARUA ZAO KWA MWAJIRI KWENDA KM-UTUMISHI.Habari za jioni wadau,