msaada ubuntu 12.04 precise pangolin (32- bit)

mkwafi

Member
Joined
Sep 1, 2011
Posts
10
Reaction score
1
nimejaribu kuinstall hyo latest version ya ubuntu
nimefuata procedure zoooote lakini mwisho wake inaniletea message hyo kweye image

computer in dell latitude D620
Core 2 duo (processor)
60 Gb HDD but cjaifanyia partion
please msaada kama una idea nifanyaje hii kitu ikae humu
i really need this thing!!!
thanks in advance
 
try kucopy hiyo cd yako kwenye partition moja na hiyo host pc e.g copy kwenye desktop halafu install kupitia hapo.
Ila njia nzuri kuinstall ungeboot from cd na halafu uchague install alongside windows hapo itatengeneza partition yake yenye, na sio kama hiyo njia ya wubi maana ukitumia wubi hautaweza kusoma hiyo host partition, vile vile matatizo ya windows yanaweza affect hiyo ubuntu yako.
 
tumia hii link kupata program ya kutengeneza bootable linux usb, na ujaribu kutumia usb kuinstall ubuntu
 
thanx man ngoja nifanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…