wicalumtata
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 329
- 112
Sasa jamani tukiitwa hamnazo kweli tutalalamika kwa hali kama hii, mimi nimetembelea forums kibao za wenzetu hao Nchi zilizo endelea kweli kabisa sijaona maujinga kama haya mtu kauliza swali badala asaidiwe unakuta eti limtu linataka jamaa akajifunze kiswahili. kama wewe unakipenda sana siukawaelekeze bbc au ukawafundishe maana ndio kazi yao kubwa. Turudi kwenye mada, Mimi zamani nikiwa std 7 nilikuwa fundi redio hivyo ninauzoefu, Kitu kinachotekea hapo ni resistance ya Radio system ambayo ukizani unarudishwa kwenye transforma ambayo ni coil so umeme ukiongezeka kidogo huo mzigo unaenda kwenye coil nasio kwenye redio ndio maana inaungua.Karibu Itamba Primary School, Shule ya kiswahili halisia, kama hujui kiswahili utajua transformer (ukinitukana unapigwa ban) wicalumtata
yah, nimesuka pia nmezingatia sana suala la idadi, 300turns for secondary ,ni 30v-0-30v
habari wanajamvi, naomba msaada nataka kujua kwanin sometime transiformer zinaungua secondary coil, mfano mimi nina tabia ya kuacha redio inaimba usiku kucha, sasa jana usiku ilipofka saa7 usiku ntaona moshi unatoka kwenye redio, nkaamka nkazima socket switch, leo nachek nimekuta ile toroidal transformer imeungua upande 1, ambapo zinatokea zile output wires , asa hadi saiz sijaelewa chanzo ni nin?
ThinkPad I LOVEthe way you are typing, Jamaa kasema Ntaona Koili Inatoa Moshi, Sheikh Yahya at Work? (maana ametabiri)Sasa jamani tukiitwa hamnazo kweli tutalalamika kwa hali kama hii, mimi nimetembelea forums kibao za wenzetu hao Nchi zilizo endelea kweli kabisa sijaona maujinga kama haya mtu kauliza swali badala asaidiwe unakuta eti limtu linataka jamaa akajifunze kiswahili. kama wewe unakipenda sana siukawaelekeze bbc au ukawafundishe maana ndio kazi yao kubwa. Turudi kwenye mada, Mimi zamani nikiwa std 7 nilikuwa fundi redio hivyo ninauzoefu, Kitu kinachotekea hapo ni resistance ya Radio system ambayo ukizani unarudishwa kwenye transforma ambayo ni coil so umeme ukiongezeka kidogo huo mzigo unaenda kwenye coil nasio kwenye redio ndio maana inaungua.
sasa katika hizo tuns 300 za cecondary primary unakuwa umeweka tuns ngapi?
ThinkPad I LOVEthe way you are typing, Jamaa kasema Ntaona Koili Inatoa Moshi, Sheikh Yahya at Work? (maana ametabiri)
Mfundisheni kuandika, ndipo transformer ifuate, otherwise wote mtakuwa division 5 product! Asha
ww typing error hujui? Au unataka kuleta zako hapa, wenzako wote wameelewa ila ww unajifanya unakosoa kitu ambacho umeelewa. Kama huwez kunipa mchango wako ungeacha 2. Watu wengine bwana.

Naitwa Pokofame, sijui huyoAsha umemtoa wapi, au ndo mwalimu wako wa kiswahili, mwambie naye aje shule wicalumtata
habari wanajamvi, naomba msaada nataka kujua kwanin sometime transiformer zinaungua secondary coil, mfano mimi nina tabia ya kuacha redio inaimba usiku kucha, sasa jana usiku ilipofka saa7 usiku ntaona moshi unatoka kwenye redio, nkaamka nkazima socket switch, leo nachek nimekuta ile toroidal transformer imeungua upande 1, ambapo zinatokea zile output wires , asa hadi saiz sijaelewa chanzo ni nin?
Naheshimu mawazo ya ndugu nyuli hapo juu,nothng to top up!