Msaada tatizo la Network simu ya Samsung Note 3

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Habari wana Tech,Gadgets.

Nina simu ya Samsung Note 3 lakini tatizo kubwa kwenye simu hii ni network kwani kuna wakati mtandao unapotea kabisa na simu inakuwa haipatikani.


Mara chache mtandao unasoma 3G lakini Pamoja na hilo siwezi kuingia mtandaoni.


Wakuu naombeni msaada wenu.
 

ni original ? vip umejaribu kufanya factory reset? kuhusu kupoteza network sometimes ni issue ya modem..hivyo unaweza flash modem nyingine au kuweka stock rom upya kabisa.
 

Hiyo simu sio original..!
 
Niliuza kwa bei chee simu niliyonunua sh 1.2m hizo sio simu sahivi nipo kwenye iPhone 6+ raha tupu
 
Check kama imei namba ipo kwa kubonyeza *#06#
Kama haipo nenda kwa fundi wakaiandikie hilo ndo huwa linafanya simu ifanye hvyo
 
hio ni fake cheap imitation, kama ingekua original ikipoteza network itakuonesha No service ila sio 3G
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…