Msaada tatizo la kukojoa sana

Mnyakyusa Ipinda

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2020
Posts
439
Reaction score
1,526
Jabari wakuu, i hope mko ok..

Niende diende direct kwenye mada husika, niliumwa sana mwanzoni mwa mwezi huu, nikalazwa nikiwa sijitambui kabisa, nimetundikiwa drip tofauti za dawa za kutosha na dindano na dawa, hatimae nikapata nafuu ambayo kila mtu alishangaa imekuaje kwa hali nilokua nayo.

Sasa nimeelezea hayo kidogo ili Madr. mpatr mwanga kiasi. Niliporuhusiwa nilapewa dawa dozi kama 6, saa hii zimebaki 4 na ni nyingi, moja inaisha mwakani. Lakini tangu nimekua natumia hizo dawa au nilivotoka hospital nakojoa sana, yani hadi kufkia kuomba ushauri mjue hadi nimeogopa wazee.

Maji yes nakunywa lakini nakojoa zaidi ya ninachoconsume, kila baada ya dk 40 au 35 nikinywa maji mkojo unanibana tena ule ambao unataka kutoka muda huo huo, hiyo hali inanichosha sana.
 
Ungetaja na hizo dawa kuwarahisishia MaDr na tatizo ulilokutwa nalo Hospital.
Nimornia (dawa yake), bacteria kwenye ubongo wanaelekea kwenye uti wa mgongo, nimesaau unaitwaje (dawa yake), Bacteria wa kifia kikuu, ila niliambiwa tu nina dalili za kifua kikuu (dawa zake)

zingine mala za kuongeza nguvu za mwili na za kifua sababu nilipo kuna.baridi na upepo sana wakati huu niliugua pia kikohozi
 
Pole sana. Nadhani ni vizuri urudi kwa dr umweleze. Inawezekana dawa unazokunywa zinasababisha au ulipata tatizo jingine lililosababishwa na hizo dawa au umepata kisukari... bila vipimo siyo rahisi kupata ushauri mzuri. Ulitibiwa hospital ya kuaminika au ni hizi za uchochoroni? Na dr je ni mzuri au ni hawa wapenda fedha? Tafuta dr mzuri uchukuwe vipimo. Usichoke.
 
Ndaga fijo nkamu Kyala aikutula akuja kanunu kangi
 
Shukrani Mkuu, nitafanya vipimo vyote tena, pia ni refferal Hospital nzuri ina madakatari wazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…