Mnyakyusa Ipinda
JF-Expert Member
- Dec 9, 2020
- 439
- 1,526
Mtafsiri namba moja wa ndoto yako ni roho mtakatifu, sisi binadamu tunabahatisha
Ok ndugu, wacha nitafanya maombiMtafsiri namba moja wa ndoto yako ni roho mtakatifu, sisi binadamu tunabahatisha
yeah sure, thanks MkuuKama unamwamini Mungu, omba akupe tafsiri.
Mhimu, usiipuuzie.
sawa karibu mkuuNkituliA ntafafanua
Siku nyingine usiandike ndoto kama hii kwenye public tafadhali.sawa karibu mkuu
Kwa nini mkuu, nimewaza sana the whole day nikaona let me ask if i can get answers. Yule.mfalme wa misri kwenye bible aliota ndoto akashirikisha watu hata akaitwa yule yusuph (Joseph) akampa tafsiri.Siku nyingine usiandike ndoto kama hii kwenye public tafadhali.
we kijana wa mwakifuna !! usiwaze kuhusu nsoto,fanya kazi kwa juhudi!!hutakuwa na muda wa kuota !!
[emoji3][emoji3], sawa mkuu, shukrani.we kijana wa mwakifuna !! usiwaze kuhusu nsoto,fanya kazi kwa juhudi!!hutakuwa na muda wa kuota !!
Sent using Jamii Forums mobile app
@mshana Jr unaitwa huku MkuuHabari Wakuu.
Najua humu ndani tuko watu tofauti kwa kila mtu kubarikiwa kwa jinsi yake,.kila mtu ako na karama yake, sasa kuna ndoto nimeota jana na ilivoisha tu nikashtuka na kuogopa sana na ningependa wajuvi mniambie maana yake yaweza kua ni nini. Wale wenye karama ya kutafsiri ndoto naomba tafasiri tafadhari.
Ndoto yenyewe ni hii[emoji116]
Nilikua mahali mtaani kama highlands hivi yani mji uko mlimani so tunaona chini na tumezungukwa na milima midogo na misitu pia ya miti mikubwa but haka ka mji kameendelea sana
Nilikua kwenye kona ya jengo kama la supermarket karibu na barabara namsubiri mtu (sijajua nilikua namsubiri nani, kuna dada akapita kama ananijua ila me sijajua ni nani akasema twende nikasema me namsubiri (ambae hadi sasa sijui).
Ghafla akatokea nyoka wa njano mkubwa sana kwenye msitu ule (yani sisi mji si uko kwa juu ila tunaona chini, so tunaona yule nyoka akiwa juu kabisa ya miti ya matawi akijongea kutufuata, nikaogopa sana watu wakaanza kukimbia wengine kuja kuona huyo nyoka, ghafla akatokea mtu , akasema wacha nisaidie kumkamata huyo nyoka, akawa na vifaa vya kumkamata, akaenda juu ya ile miti akaanza kumtishia yule nyoka na kumgonga gonga na fimbo yake, nyoka akalegea kabisa akasema huyu tayari, kabla hajamaliza kumkamata akatokea nyoka mwingine mkubwa zaidi sasa huyu ni mweusi anatisha sana na mkubwa sana, watu wakaanza kupiga kelele ondoka huyo mwingine anakuja akasema huyu tamuweza pia, ghafla wakati anajiandaa kumkabili, yule nyoka akamuwahi jamaa akammeza kiwiliwili chote, akawa anajitahidi kujiokoa ila nyoka akawa anazidi kummeza , hadi akammeza kabisa ...
Nikashtuka nikiwa na hofu kubwa na niliogopa sana. Huwa naota ndoto lakini si kwa mtiririko ulionyooka hivi, hii ndoto inaweza kua na maana yoyote au ni ndoto tu. Wanasema ndoto ni mjumuiko wa mambo unayokua unawaza au kuona then ukilala ubongo unakua kama unaendeleza lakini mbona sijawahi waza manyoka nyoka wala anything kuhusu nyoka. Msaada please.
Mshana Jr Sky Eclat
Rakims
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
[emoji26][emoji20]nahisi unamhitaji Mungu, kwasababu haupo salama. umezungukwa na maadui hatari sana.
Kwa mujibu wa ndoto yako inaonesha nguvu za kiroho ulizo nazo na maonyo na maelekezo.MTU wa kichwa cha kawaida hawezi kuota ndoto kama hiyo na humu mtandaoni si kila mtu ni mwema.Kwa nini mkuu, nimewaza sana the whole day nikaona let me ask if i can get answers. Yule.mfalme wa misri kwenye bible aliota ndoto akashirikisha watu hata akaitwa yule yusuph (Joseph) akampa tafsiri.
Anyway sawa sitapost tena ndugu.
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Nyoka mweusi ni roho ya umauti.Habari Wakuu.
Najua humu ndani tuko watu tofauti kwa kila mtu kubarikiwa kwa jinsi yake,.kila mtu ako na karama yake, sasa kuna ndoto nimeota jana na ilivoisha tu nikashtuka na kuogopa sana na ningependa wajuvi mniambie maana yake yaweza kua ni nini. Wale wenye karama ya kutafsiri ndoto naomba tafasiri tafadhari.
Ndoto yenyewe ni hii[emoji116]
Nilikua mahali mtaani kama highlands hivi yani mji uko mlimani so tunaona chini na tumezungukwa na milima midogo na misitu pia ya miti mikubwa but haka ka mji kameendelea sana
Nilikua kwenye kona ya jengo kama la supermarket karibu na barabara namsubiri mtu (sijajua nilikua namsubiri nani, kuna dada akapita kama ananijua ila me sijajua ni nani akasema twende nikasema me namsubiri (ambae hadi sasa sijui).
Ghafla akatokea nyoka wa njano mkubwa sana kwenye msitu ule (yani sisi mji si uko kwa juu ila tunaona chini, so tunaona yule nyoka akiwa juu kabisa ya miti ya matawi akijongea kutufuata, nikaogopa sana watu wakaanza kukimbia wengine kuja kuona huyo nyoka, ghafla akatokea mtu , akasema wacha nisaidie kumkamata huyo nyoka, akawa na vifaa vya kumkamata, akaenda juu ya ile miti akaanza kumtishia yule nyoka na kumgonga gonga na fimbo yake, nyoka akalegea kabisa akasema huyu tayari, kabla hajamaliza kumkamata akatokea nyoka mwingine mkubwa zaidi sasa huyu ni mweusi anatisha sana na mkubwa sana, watu wakaanza kupiga kelele ondoka huyo mwingine anakuja akasema huyu tamuweza pia, ghafla wakati anajiandaa kumkabili, yule nyoka akamuwahi jamaa akammeza kiwiliwili chote, akawa anajitahidi kujiokoa ila nyoka akawa anazidi kummeza , hadi akammeza kabisa ...
Nikashtuka nikiwa na hofu kubwa na niliogopa sana. Huwa naota ndoto lakini si kwa mtiririko ulionyooka hivi, hii ndoto inaweza kua na maana yoyote au ni ndoto tu. Wanasema ndoto ni mjumuiko wa mambo unayokua unawaza au kuona then ukilala ubongo unakua kama unaendeleza lakini mbona sijawahi waza manyoka nyoka wala anything kuhusu nyoka. Msaada please.
Mshana Jr Sky Eclat
Rakims
Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
Thank you mkuu, ubarikiwe.Kukaa juu kilimani kunaonesha kati ya aina tatu za vitu. Mamlaka za kiroho,kijamaa, au za kikazi. Ina maana huo msitu vijilima vidogo ni ni watu wenye nguvu kwa muktadha nilioutaja juu hapo. Nyoka wa njano ni adui asiye na nguvu sana na ambae mna uadui fulani katika shughuli zenu za kila siku. Ila kuna mtu alimtuliza na ulimwamini ila nae ni snitch tu ambae anajifanya anakusaidia ila ni mbaya pia.
Jaribio la kwanza liliposhindwa maana yule mnafiq alimtuliza nyoka wa njano. HAKUMUUA na hapo ndipo ulipo ubaya wa mtu huyo. Ukaoneshwa muhusika mkuu wa ubaya huo,yaani hilo joka jeusi huyo ni mtu mwenye nguvu sana katika maeneo unayokuwepo kukudhihirishia kwamba ana nguvu sana akampoteza huyo alijifanya anakusaidia kinafiki.
Ndoto inakuonya kuwa makini na maadui wanaohitaji jambo fulani kutoka kwako ila kuna wakati wanagombana wenyewe. Ila aliyemezwa shughuli imeisha kwake. Sasa umeoneshwa mkuu wao.
Ndoto yako ni kubwa na kwa kiwango cha ukubwa wa nyoka uliowaona kinaakisi pia ulinzi na nguvu ulizonazo. WATU WA DINI WANAITA NGUVU ZA MUNGU,WACHAWI WATU WA DINI, WAGANGA WANAZIITA NGUVU ZA KIROHO. WAAFRIKA WANAITA MIZIMU. tazama kazini familia au ukoo au kwenye shughuli na maisha kiujumla japo si lazima litokee haraka.
Tunza karama kwa kuficha siri unazojulishwa na mungu sio kila ntu ntu.