Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,700 Reaction score 6,825 Oct 10, 2013 #1 natumai mu bukher wa afya! jf dokta naomba msaada tatizo la kutapika ndani ya bus pind naposafir, kama kuna mwenye auelewa na tiba ya hili tatizo anijuze maana imekua ni kero kubwa kwang
natumai mu bukher wa afya! jf dokta naomba msaada tatizo la kutapika ndani ya bus pind naposafir, kama kuna mwenye auelewa na tiba ya hili tatizo anijuze maana imekua ni kero kubwa kwang
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Oct 10, 2013 #2 Kula vidonge vya kuzuia kutapika kama Meclozine 25 mg,Unakula kidonge kimoja lisaa limoja mpaka mawili kabla safari..Dose inayofata unatakiwa uchuke masaa 12 baadae!
Kula vidonge vya kuzuia kutapika kama Meclozine 25 mg,Unakula kidonge kimoja lisaa limoja mpaka mawili kabla safari..Dose inayofata unatakiwa uchuke masaa 12 baadae!
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,700 Reaction score 6,825 Oct 10, 2013 Thread starter #3 mimi49 said: Kula vidonge vya kuzuia kutapika kama Meclozine 25 mg,Unakula kidonge kimoja lisaa limoja mpaka mawili kabla safari..Dose inayofata unatakiwa uchuke masaa 12 baadae! Click to expand... asante sana mkuu
mimi49 said: Kula vidonge vya kuzuia kutapika kama Meclozine 25 mg,Unakula kidonge kimoja lisaa limoja mpaka mawili kabla safari..Dose inayofata unatakiwa uchuke masaa 12 baadae! Click to expand... asante sana mkuu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Oct 10, 2013 #4 ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji
Gorgeousmimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2010 Posts 9,296 Reaction score 7,713 Oct 10, 2013 #5 miss chagga said: ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji Click to expand... Kama ni mtapikaji atatapika hata Nyongo!!
miss chagga said: ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji Click to expand... Kama ni mtapikaji atatapika hata Nyongo!!
Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,700 Reaction score 6,825 Oct 10, 2013 Thread starter #6 miss chagga said: ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji Click to expand... Ushaur mzuri naufanyia kazi
miss chagga said: ukiwa unasafiri funga kabisa kula usinywe hata maji Click to expand... Ushaur mzuri naufanyia kazi