Hii issue yako mkuu ni ngumu sana, sio kukuvunja moyo ila as per my knowledge,
Wizi wa pikipiki umeshamiri ndio ila hizo pikipiki hua haziendagi mbali. Zinahamishwa eneo then zinapigishwa kazi. Unaweza kua ushapishana nayo mara nyingi tu.
Wanafanyaga changes ndogo tu uc itambue kiuharaka kama kubadilisha rims na seat basi. Hata number plate saa zengine hawachange. Kua makini chief kwenye utaftaji ningekushauri uanzie kwa kuitafuta kama unatafuta pikipiki ya kununua kwa dili mtaani, unaweza ukalengeshwa kwenye yako.
Goodluck