Donkere91 Senior Member Joined May 28, 2016 Posts 185 Reaction score 162 Jul 27, 2016 #1 Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao.
Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao.
Donkere91 Senior Member Joined May 28, 2016 Posts 185 Reaction score 162 Jul 28, 2016 Thread starter #4 Issah festo said: Usajili wa nini Click to expand... Wanafunzi kwa ajili ya mwaka wa masomo 2016/2017 bachelor
Issah festo said: Usajili wa nini Click to expand... Wanafunzi kwa ajili ya mwaka wa masomo 2016/2017 bachelor
Donkere91 Senior Member Joined May 28, 2016 Posts 185 Reaction score 162 Jul 28, 2016 Thread starter #5 bajok said: labda vmejaa Click to expand... Mmh mbn ndo wamefungua juzi tu.
In christ alone Member Joined Jul 2, 2016 Posts 51 Reaction score 33 Jul 28, 2016 #6 Haviko chin ya NACTE hivyo vyuo viko TCU
pandagichiza JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 5,974 Reaction score 4,270 Jul 28, 2016 #7 Donkere91 said: Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list . Click to expand... Sasa UDOM UDSM SUA unategemea uvikute NACTE?
Donkere91 said: Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list . Click to expand... Sasa UDOM UDSM SUA unategemea uvikute NACTE?
Mmavele jr Senior Member Joined Aug 14, 2014 Posts 130 Reaction score 53 Jul 29, 2016 #8 Donkere91 said: Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao. Click to expand... we jamaa unasubili meli ubungo bachelor za udom udsm na sua na nacte wapi na wapi
Donkere91 said: Wadau msaada plz mwenye idea kuhusu hili,mana NACTE wamefungua usajili tyr lkn baadhi ya vyuo hamna mfano: UDSM,UDOM,SUA ...havipo ktk list yao. Click to expand... we jamaa unasubili meli ubungo bachelor za udom udsm na sua na nacte wapi na wapi
kenzi JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 425 Reaction score 462 Jul 29, 2016 #9 Msaada tafadhali. Kuna vyuo nacte imevitaja lakini kwenye guide book havija ainishwa coure zake wala ada yake. Je hii ina maana gani?
Msaada tafadhali. Kuna vyuo nacte imevitaja lakini kwenye guide book havija ainishwa coure zake wala ada yake. Je hii ina maana gani?
T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,132 Jul 29, 2016 #10 kenzi said: Msaada tafadhali. Kuna vyuo nacte imevitaja lakini kwenye guide book havija ainishwa coure zake wala ada yake. Je hii ina maana gani? Click to expand... Hii ina maana umepigwa konzi pwaaaaaaa!
kenzi said: Msaada tafadhali. Kuna vyuo nacte imevitaja lakini kwenye guide book havija ainishwa coure zake wala ada yake. Je hii ina maana gani? Click to expand... Hii ina maana umepigwa konzi pwaaaaaaa!
kenzi JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 425 Reaction score 462 Jul 29, 2016 #11 TheDealer said: Hii ina maana umepigwa konzi pwaaaaaaa! Click to expand... Kivip mkuu