Jameni nisaidieni natumia LG F100s ila imeanza kujizima yenyewe na kuji restart imekuwa hivyo tuu hadi uiconect kwa charge ndo inatulia..maana yake nikiitoa kwa charge inaleta ishu zile zile kuwaka na kujizima..na kibaya zaidi battery yake ni inbuilt...msaada please....