Habar mafundi,
Samahan nimepata tatizo mtoto kuchezea passcode na baadaye simu kujifunga na ujumbe kujitokeza iphone disabled.
Nimejaribu ku restore ila imeniomba apple id na password na katika kumbukumb zangu sikukumbuki hiyo nywila isipokuwa najua tu passcode za kufungulia simu tu.naomben ushauri nifanyeje kuhusu hili nirejeshe simu yangu.
Ahsanteni