S samaka Member Joined Dec 30, 2013 Posts 20 Reaction score 9 Nov 30, 2015 #1 msaada simu inachukua muda mrefu kuwaka hadi dakika 15
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,031 Nov 30, 2015 #2 samaka said: msaada simu inachukua muda mrefu kuwaka hadi dakika 15 Click to expand... simu aina gani?
samaka said: msaada simu inachukua muda mrefu kuwaka hadi dakika 15 Click to expand... simu aina gani?
Quinine Mwitu JF-Expert Member Joined Oct 19, 2014 Posts 5,530 Reaction score 6,120 Nov 30, 2015 #3 itakua tecno au huawei....punguza baadhi ya apps kwenye cm yako kisha clear vitu kwenye phone memory
Tujisahihishe Tz Platinum Member Joined Nov 17, 2011 Posts 3,050 Reaction score 1,359 Nov 30, 2015 #4 jamani ukitaka kusaidiwa jieleze kwa upana ili mtoa msaada ajue anaanzia wapi? sasa wewe unaandika utafikiri wewe ndo unatoa msaada ovyo kabisa
jamani ukitaka kusaidiwa jieleze kwa upana ili mtoa msaada ajue anaanzia wapi? sasa wewe unaandika utafikiri wewe ndo unatoa msaada ovyo kabisa
baruti170 JF-Expert Member Joined Jun 24, 2014 Posts 554 Reaction score 397 Dec 1, 2015 #5 Mabs said: itakua tecno au huawei....punguza baadhi ya apps kwenye cm yako kisha clear vitu kwenye phone memory Click to expand... Iyo tecno ww
Mabs said: itakua tecno au huawei....punguza baadhi ya apps kwenye cm yako kisha clear vitu kwenye phone memory Click to expand... Iyo tecno ww
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Dec 1, 2015 #6 Njia rahisi na nyepesi kwa simu inayochelewa kuwaka washa jiko la umeme/gesi iweke hapo jikoni fasta utaiona inawaka na kama haijawaka njoo uchukue 10,000/=
Njia rahisi na nyepesi kwa simu inayochelewa kuwaka washa jiko la umeme/gesi iweke hapo jikoni fasta utaiona inawaka na kama haijawaka njoo uchukue 10,000/=