Msaada: Shirika la BRAC liko wapi?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,468
Reaction score
119,622
Wakuu kwa anayejua zilipo ofisi za hilo shirika. Nasikia mbezi beach ila sasa ni sehemu gani? Nimejaribu google map sijaona chochote msaada tafadhali
 
Tegeta zipo Azania mkabala na ziro pub au nyingine zipo tegeta kibaon nyuki karibia na kibo complex..
 
Anyways kuwa tuu makini na uhakika na unachotaka kufanya maana huku mtaani wakina dada na mama wakisikia tuu hilo jina wanavibrate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…