Watu wana complicate maisha. Ugali mchicha wenye virutubisho shazi ni buku tu ila anataka show off akale ma junkies ya elfu 20.Utafilisika mkuu siule tu ugali na mchicha🧟🧟
Nenda Butiama magomeni mapipaGuys nisaidieni sehemu wanapouza biriani nzuri kwa dsm kwa siku ya kesho jumatano
Sio biriani tu au panauzwa pilau au michemsho ya samaki au nyama za mbuz ngombe au kuku
Ila pawe bei za kawaida za kati yaani bei ya sahani ianzie elfu 3 , elfu 4 hadi elfu 5 kwa sahani km ni kisinia basi isizidi elfu 15
Guys maeneo km haya itapendeza zaid....Magomeni, kinondon, k.koo na kigamboni...
Pls
Ila priority yangu ni biriani ikikosekana bas hizo second option mniambie
Nenda nebrela meal point kinondoniGuys nisaidieni sehemu wanapouza biriani nzuri kwa dsm kwa siku ya kesho jumatano
Sio biriani tu au panauzwa pilau au michemsho ya samaki au nyama za mbuz ngombe au kuku
Ila pawe bei za kawaida za kati yaani bei ya sahani ianzie elfu 3 , elfu 4 hadi elfu 5 kwa sahani km ni kisinia basi isizidi elfu 15
Guys maeneo km haya itapendeza zaid....Magomeni, kinondon, k.koo na kigamboni...
Pls
Ila priority yangu ni biriani ikikosekana bas hizo second option mniambie
Selebonge ndokiboko Sema hana pesaKwa selebonge
Kwa eshabueti
Nenda marry brown MasakiGuys nisaidieni sehemu wanapouza biriani nzuri kwa dsm kwa siku ya kesho jumatano
Sio biriani tu au panauzwa pilau au michemsho ya samaki au nyama za mbuz ngombe au kuku
Ila pawe bei za kawaida za kati yaani bei ya sahani ianzie elfu 3 , elfu 4 hadi elfu 5 kwa sahani km ni kisinia basi isizidi elfu 15
Guys maeneo km haya itapendeza zaid....Magomeni, kinondon, k.koo na kigamboni...
Pls
Ila priority yangu ni biriani ikikosekana bas hizo second option mniambie
Duuuh kwa zamani hapoNenda Butiama magomeni mapipa
Hapo biriani uongo wao wanasifika kwa pilau tu tena zamani sijui kwa sasa voDuuuh kwa zamani hapo
Amesema akikosa biriani basi vingine km pilau. Zamani nilikula hapo pilauHapo biriani uongo wao wanasifika kwa pilau tu tena zamani sijui kwa sasa vo
Nenda Butiama magomeni mapipa
Sele limebaki jina tu hamna kitu, alipika biriani miaka ya nyuma lakini sasa hivi ana mfanano wa biriani, anauzia jina kwa sasa.Kwa selebonge
Kwa eshabueti
Very local. Vyakula vingi vinashikwashikwa sana. Nenda kapate Breakfast usimamie unavyoandaliwa utanishkuru.Hii hotel bado ipo? Ni ya Miongo mingi sana!