Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,952
Ntajaribu santeMaranyingi napakua kwa kuanza na 1-opera browser.
2-Kisha naandika YouTube.
3-Ikifunguka, na search nyimbo/ jina la msanii.
4-Then, ikikuja naifanyia editing pale juu.
Kuna maandishi mengi lakini nenda hadi kwenye //m.youtube, kisha toa (m.) m na dot, kisha weka ss, them search.
Baada ya hapo itakuletea kama ni video kisha unaipakua.
Lakini kama unataka uipakue kama nyimbo pekee.
Shuka chini kwenye option na kisha utachagua option ya mp4, kisha unaipakua
Ngoja nitengeneze pic za muongozo ili uelewe vizuriNtajaribu sante
Tafuta application ya video order kama wataka video pia hapo hapo inasehemu ya kuiconvert iyo video kuwa audio....Habari wapendwa....
Naomba kwa anaejua website isiyo na longo longo ya kudownload nyimbo aina zote atupie hapa.....
NB...
Waptrick kuna nyimbo nazikosa....
Tubidy tangu ibadilike inanishinda..
Staki zile website uchwara kila mara click here had page zinafika mia huko sion kitu...
Pia sitaki zile nadownload zinanipeleka play store....
Asanteni in advance!!!...
Absolutely [emoji109]Videoder hii ndo yenyewe hukosi wimbo wowote ule