msaada pls wa settings sa samsung LED TV INCH 32

ndupa

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2008
Posts
4,403
Reaction score
151
habarini na heshima kuu kwa wanajamvi wote,lengo la kuanzisha hii thread ni kuomba msaada kama title ya thread inavyojieleza.
iko hivi,nimebahatika kujikomboa na kununua samsung LED TV INCH 32.lakini shida inakuja kwenye setting upande wa rangi yani nashindwa kabisa kuset ili rangi iwe yanii inakuwa kama imepauka sana..lakini kama nikiplay movie kwa kuweka flash colour inakuwa nzuri sana kupita maelezo..na kama nikitune tbc ndo inakuwa mbaya kweli..naombeni msaada wakuu
natanguliza shukrani tele kwenu.
 
Tatizo sio device yako kama ni hivyo, tatizo ni hiyo tv station, nyingi hazina ubora. Press menu kwenye remote, nenda kwenye settings za Picture, kama unaona hazijakaa vzr unaweza reset to default mode.
 

Tembelea Welcome to Tweak TVÂ--Â-TweakTV kuna maelekezo ya kutosha. Tatizo hilo si lako tu, picture settings za tv hizi zinasumbua tofauti na zile za kizamani, especially ikiwa ni smart tv.
 

nadhani mimi na wewe tuna model sawa za tv,., tatizo sio rangi kabixa..... tv yako iko fine ila ni station zetu za kibongo bado hawana ubora wa picha ambayo inaweza kuonekana vizuri kwenye hizi new tech led tv sets, cha kukushauri ni kutafuta king'amuzi chenye uwezo wa HDMI ambayo itakusaidia kung'arisha picha vizuri,cable utaenjoy ubora wa picha za nje na chanel za nje bongo bado saaana ,., kwa upande wangu naitumia set yangu kama extension ya pc screen au kufanya multiple screen hasahasa kucheza high def games na kuangalia movie au kustream kwa chromecast.,. bongo hizi tv channel zetu hazizitendei haki kabisaaaa. so tatizo ni channel not your tv hata kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…