Msaada please,

pole kaka, nadhani ongea vizuri na msichana wako..mtie moyo...mwambie avumilie, mjaze imani, ayashinde hayo majaribu...wasichana wanapitia mengi sana, hilo ni dogo sana....mwambie asife moyo na kuwa hao wanamtamani tu, hali ikizidi kuwa mbaya, achukue hatua ya kuwaripoti katika mamlaka husika...ila kwa sasa, kama una kauwezo kidogo, mpe hela akakae nyumba za wageni (guest houses), then aende hospital, huko akitakwa kimapenzi na huyo mzee atapata na nguvu ya kumripot kwa uongoz wa hospitali.....
 
Ukiona mpenzi wako anakuambia watu waliyomtongoza na akawakataa ujue huyo ni chui, naamini mwanamke kila mara lazima atongozwe. Je amekuambia na aliyowakubalia? Shtuka anatafuta pakutokea huyo.

Hajawai kuniambia ki2 kama iko. Nashukulu kwaushauli wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…