Msaada please wa Tecno H5

mduirwa

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
35
Reaction score
12
simu yangu kila mda inakuwa inasearch GPS, kwa hiyo nitafanyaje ili GPS isiwe inasearch kwa sababu inakula sana chaji
 
Jaribu hii utashangaa!

Badilisha line (simcard)
Problem solved.

Kama handset ni double line, switch line 2 to line 1 slot and line 1 to line 2 slot.

Problem solved?
 
Jaribu hii utashangaa!

Badilisha line (simcard)
Problem solved.

Kama handset ni double line, switch line 2 to line 1 slot and line 1 to line 2 slot.

Problem solved?

sijaelewa vizur njia ya pili lakini bado tu inasearch
 
sijaelewa vizur njia ya pili lakini bado tu inasearch

Kama simu yako ina simkadi mbili, kwenye laini ya kwanza toa simkadi iliyopo ili uweke laini nyingine. Halafu iliyokuwa kwenye laini ya kwanza weka kwenye laini ya pili.

Kisha nenda settings, zima gps

Hapo je!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…