Eck fulani
JF-Expert Member
- Oct 14, 2014
- 458
- 600
HATA CHA KULIPIA HUPATI MKUU?Jaman directly katika tatzo langu ni kuwa wiki ya tatu hii sipati choo...ukilinganisha na ndonga ninayokula . nikijitahidi sana kias kidogo sana hata kidole cha mwisho kikubwa..tumbo haliumi na njaa inauma vizuri tuu...hospital nkapima laboratory. Wakasema no problem. Cjui ni uchawi gan huu Naamini g ntapata msaada wenu..humu maana jf ndo mkomboz na suluhisho la tatzo. Asanten
Jibu lako kuntu kakaVipo vingi tu. Jaribu hata cha stendi
Dah mkuuu mapera lazima stick au finger samahaniAu ulikula mapela mkuu?
Upo sahihi MkuuYes hii ndio suluhisho rahisi kabisa isipokuwa ili kupata matokeo chanya ndani ya muda mfupi hakikisha unaitengeneza mwenyewe na iwe nzito sana..
I wish I kudi be mumeo..[emoji7]Upataji wa choo unategemea vyakula unavyokula, matunda, kiasi cha maji unachokunywa, mazoezi unayofanya pia kama ulitumia dawa za kupunguza maumivu hivi karibuni zina madhara katika kufunga choo. Msongo wa mawazo pia unaweza kusababisha tatizo hilo.
Ivi piles inawez kusababisha tatizo la kushindwa kurelaxy kwa sphinter musclesJaribu kula papai,avocado na maji ya kutosha 3L/day bila kusahau mboga za majani katika diet yako
Pia unaweza tumia dawa
Lactulose syrup 15mls usiku kabla ya kulala
Vidonge vinaitwa bisacodyl 10mg od 3/7
Utapa choo fasta....pia unaposikia haja ya choo don't delay nenda kaitoe kwani kuendelea kukaa nayo inakua ngumu kwa sababu ya mechanism ya utumbo mpana kufyonza maji.
Kuna madhara unaweza pata kama unapata choo ngumu mara kwa mara hii ni kutokana na straining...inaweza pelekea kupata hemorrhoid/piles
Pole sana mkuu, kunywa maji ya moto glass moja asubuhi,Mshana na jioni kabla hujalala.Asanten naona faraja inarejea nahis ntapona barikiwa Wote na bado napokea ushauri. Nmeanza na tizi leo wakuu. Bdae kidogo juic a matunda yatahusika. Thanks all
Ivi piles inawez kusababisha tatizo la kushindwa kurelaxy kwa sphinter muscles
Ngoj niende straight yani nimemaanisha inawez kusabaisha kutanuka kwa njia ya haja kubwaHapana
Haiwezi mkuu kwani sphincter muscle zinakuwa intact,ishu hapo ni mishipa ya damu inaslide kushuka chini then inapasuka,ila huwa inapona.
Hemorrhoid ina grade zake kama ifuatavyo;
Ya kushuka na kurudi yenyewe hapa huwa ni dawa inapona ila chance ya recurrence ni kubwa
Ya kushuka bila kurudi mpaka irudishwe.
Kuna yakushuka mojamoja hairudi
Ya pili na ya tatu tiba yake operation (hemorrhoidectomy)
Jaman directly katika tatzo langu ni kuwa wiki ya tatu hii sipati choo...ukilinganisha na ndonga ninayokula . nikijitahidi sana kias kidogo sana hata kidole cha mwisho kikubwa..tumbo haliumi na njaa inauma vizuri tuu...hospital nkapima laboratory. Wakasema no problem. Cjui ni uchawi gan huu Naamini g ntapata msaada wenu..humu maana jf ndo mkomboz na suluhisho la tatzo. Asanten
Je, hii grade ya kwanza tiba yake ni nini hasa na kwa utaratibu upi?
Asante mkuuu.....1.hutakiwi kupata choo ngumu ili kuepuka straining hivyo basi tumia sana mboga za majani kulainisha choo,kunywa maji ya kutosha at least 3lts/day,matunda kama mapapai yanalainisha sana choo.
Choo kikilainika unapata fast recovery.
2.epuka kusimama muda mrefu pia.
3.kuna dawa pills/cream za ku apply via anus.
ukijifaham wewe unashida ya hemorrhoid zingatia sana diet kama hiyo hapo juu kurpuka excessive straining