INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,057
- 20,918
Nifanyaje hapa mkuu, kuna wengine wanasema nipige windowHDD ina Problem
BLUE SCREEN OF DEATH!! subiri imalize hiyo automatic repair itawaka,mara nyingi huwa ni tatizo la BIOS
Hapo windows imecorrupt fanya reinstallation bila kufuta vitu, baada ya hapo utavikuta vitu vyako, na kufuta windows ya zamani kwa clean up. Lakini hakikisha ulikuwa na free space atleast 20GB.
Huwa sometimes linajirudia rudia,kama haitakuja automatic repair......kuna somefunction waweza google kulingana na model ya pc yako
ila kwa HP mara nyingi huwa ni WIN key + M + Power button unahold wakati unawasha kama kwa 6 secs then utaiacha kwa kama 45SECS then itajiwasha yenyewe
Bless mkuuAhsante mkuu