msaada: pc imezima ghafla

Son.j

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2013
Posts
1,030
Reaction score
2,447
Nilikuwa natumia freshi tu, sasa nikawa nime install mavis Beacon latest version, nilipo launch ikaleta kimessage cha intel kutokana na screen resolution, baada ya hapo ikastak nika force ku shutdown kwa power key, ika zima asa kwnye kuwasha tena ikawa inaleta mistari flani vertical kwenye display baadaye ikazima kabisa

Sasa nkiwasha inawaka tu taa, screen ni blank kabisa ila caps lock inablink two times kila baada ya muda flani mfupi

Solution, nilizojaribu ni power recycle ambapo nimetoa battery nakuhold power key kwa 30 sec, lakini no any sign of kuwaka

Kwa mwwnye uzoefu, au fundi mzuri ni mpelekee..
Nipo DSM
 
pole sana kijana... ila kwa uzoefu siyo tatizo.... hapo ni kuipiga chini hiyo window..... samahani naomba unisaidie serial number ya hiyo mavis beacon


Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole sana kijana... ila kwa uzoefu siyo tatizo.... hapo ni kuipiga chini hiyo window..... samahani naomba unisaidie serial number ya hiyo mavis beacon


Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi piga window kwasababu hai start kabisa hata BIOS hai boot

Hii mavis beacon ni cracked
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…