kingkongtz
JF-Expert Member
- Dec 28, 2019
- 1,059
- 3,652
mwanzaUko mkoa gani?
Angalia kama imei za simu zipo andika *#06#mwanza
Mi pia nina shida kama hyo kwenye samsung yng na nimedial hyo namba imei zote zipo na tatizo bado lipo,nafanyaje sasa hapo mkuu?Angalia kama imei za simu zipo andika *#06#
*#0011# afu picha lete apa ama unaweza kuangalia mwenyewe kama sehem iliyoandikwa cert ipo NG au FAIL tafuta z3x fanya patch cert itakaa sawa kama utashindwa uje tukutafutie utatuzi sswakuu kwema
nina samsung a20s nimeitumia kama miez 3 sasa nikaona niireset ianze upya tena coz ilikuw na vitu vingi
sasa kimbembe kimekuja baada ya kereset, haisomi laini inaandika emergency
nikaipeleka kwa dogo mmoja akaiflash kwa kuiwekea firmware nyingne kwa kutumia odin lakn tatzo bado liko pale pale
mwenye uelewa na hili anaweza nisaidia
natanguliza shukran.
ipo hivi*#0011# afu picha lete apa ama unaweza kuangalia mwenyewe kama sehem iliyoandikwa cert ipo NG au FAIL tafuta z3x fanya patch cert itakaa sawa kama utashindwa uje tukutafutie utatuzi ss
A20s haina option ya kupatch.*#0011# afu picha lete apa ama unaweza kuangalia mwenyewe kama sehem iliyoandikwa cert ipo NG au FAIL tafuta z3x fanya patch cert itakaa sawa kama utashindwa uje tukutafutie utatuzi ss