msaada: nimeinstall windows8.1 preview lakini imekataa kuinstall program yeyote

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Wakuu
nisaidieni nimeinstall hii windows 8.1 preview na nimeiactivate online ila haitaki kuinstall program, nikitaka kuinstall inajaribu ila inaweza kutumia hata lisaa limoja ikiandika tu installing...3% hata nikicancell hiyo installation haikubali hadi nirestart computer ndo nikirudi nakuta imejicancell
Pia nimejaribu kuinstall windows 8 ile ya mwanzo kwa kutumia setup kwenye mafile yake nikiwa ndani ya hii win8.1 preview ila na yenyewe ikianza inaniambia checking your PC....50% inabaki hapo hata 2 hours
wakuu naombeni mnisaidie hii preview ina tatizo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…