Msaada niifix external hardrive yangu

lunatic

Member
Joined
Sep 24, 2016
Posts
63
Reaction score
19
Wakuu naombeni msaada nifix external harddrive yangu imegoma kusoma kwenye window , ilikuwa na virus ikagoma kufunguka mpaka niiformat ikabidi nifanye hivyo lakini sasa hivi imegoma kabsa kusoma kwenye window screen.. Pale zinapooneka harddrive hapoo [emoji116]

inaonekana kwenye disk management na inanambia hivv [emoji116]

Nikifuata hayo maelekzo inatoa error kama hiyo hapo [emoji116]

Msaada wenu nimejarbu easus master partiton kurebuild mbr inasema there some error occurred while reading sector on disk

Naomben mwenye kuweza kunisaidia anisaidie....
 
Chek kama hdd inatoka ktk hiyo casing yake then tafuta ext casing nyengine inaweza soma!!!
 
unamaanishaa ifunguliwe ndan kabisaaa mkuu
Hiyo ext ukiifungua ndani kuna hdd kwahiyo unatoa hiyo hdd unaifunga ktk ext casing nyengine but inategemea hiyo ext yako aina gani?
 
Hiyo ext ukiifungua ndani kuna hdd kwahiyo unatoa hiyo hdd unaifunga ktk ext casing nyengine but inategemea hiyo ext yako aina gani?
external yangu ni transcend
 
Bongo Hakuna fundi wa HDD na Camera utasumbuka bure tu
 
just right click hio disk partition halafu choose new halafu next mpk mwisho fanya hivo ukiwa kwenye disk management hapo hapo
maana bado hujaiallocate so haiwezi soma mpaka iwe allocd.
 
just right click hio disk partition halafu choose new halafu next mpk mwisho fanya hivo ukiwa kwenye disk management hapo hapo
maana bado hujaiallocate so haiwezi soma mpaka iwe allocd.
mkuu ni ki right click inanipa option ya properties tu hyoo option ya new haitokei
 
Wakuu naombeni

Msaada wenu nimejarbu easus master partiton kurebuild mbr inasema there some error occurred while reading sector on disk

Naomben mwenye kuweza kunisaidia anisaidie....

hamna kitu tena hapo mkuu hiyo ni ya kutupa
next time ukipata "XTENO" nyingne uwe una SCAN ili kuondoa BAD SECTOR pindi inapokuletea option ya SCANNING ili kuepuka na CASE kama hizo
mtu inakuletea Massage kabisa lkn bado unakimbilia X utaki hata kushuulika na hiyo massage inasema nini
 
dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…