Mkufu ni mafanikio...promotion nk.hvo huenda mipango yako ikakwama ..hapo naona shetani kakuletea mganga ili akusaidie. Sasa sijui imani yako ni ya waganga au mungu hapo wewe tu kufanya uamuzi...mimi kwa imani yangu ningekataa ndoto hiyo na kukiri kuwa mambo yangu yatakuwa safi tu ....ningeondoa hofu nakuamini kuwa mungu atanipigania...best wishes