0710218698Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Hamcheki na fursa0710218698
Kumbe perfumu inaogoza point ya kurahisha maogezi?Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Aiseee, kumbe ingetokea akatia neno alikuwa keshakubaliwa moja kwa moja?Jamani kuna mkaka niliwahi kusafiri nae mwanza 2 bukoba alikuwa ananukia ki ukweli nilidata ....natamani nimuulize jina la pafyum aliyotumia nashidwa! Natamani nimuombe no nashidwa......kama yuko humu namtafuta
Kabisa yani kiroho safiAiseee, kumbe ingetokea akatia neno alikuwa keshakubaliwa moja kwa moja?
Haswaa yani nilichanganyikiwa kwa kweliKumbe perfumu inaogoza point ya kurahisha maogezi?
Nitakuchek mkuu kama ni wewe kweli ntafurahi sana0710218698
ona sasa perfume ya elfu10/20 inakulete neema ya kula bumunda bila kusugua ndala