Habarini wanajamii forum,
Nakuja mbele zenu kijana wenu mdogo kuomba msaada.
Natafuta chumba cha kupanga chenye sebule na chumba kimoja tu maeneo ya mawasiliano, survey, sinza au makumbusho. Chumba kiwe ndani ya geti na bajeti yangu ni 200k-250k.
Ahsanteni, karibuni DM [emoji120]