Msaada, natafuta kazi

uko wapi labda/mkoa gani ili tujuwe unasaidika vp??? n' km kwa kazi ya stationary waweza fanya kwa bei gani
??????:flypig:
 
pole dada yote ni mapito,kuna sehemu nilipita juzi nikasikia wanatafuta mdada wa kufanya stationary so ngoja niulizie kama hawajampata nitaktlink nao.kama unahitaj ni pm.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…