Z zwenge ndaba JF-Expert Member Joined Aug 16, 2016 Posts 2,039 Reaction score 3,613 Aug 18, 2016 #1 Habari za asubuhi wakuu, Kwa anayefahamu zilipo ofisi za kampuni ya Bunwani enterprises, kampuni ya kuchimba visima naomba msaada. Ipo Dar es Salaam, sijajua ni Dar sehemu gani.
Habari za asubuhi wakuu, Kwa anayefahamu zilipo ofisi za kampuni ya Bunwani enterprises, kampuni ya kuchimba visima naomba msaada. Ipo Dar es Salaam, sijajua ni Dar sehemu gani.