Msaada: Natafuta iPhone 11 Pro

dranx

Senior Member
Joined
Dec 31, 2018
Posts
190
Reaction score
84
Habari wana JamiiForums. Natafuta simu ya iPhone 11 Pro. kwa mwenye anajua wapi naweza kuipata kwa bei nzuri
 
Kama upo dar fika maeneo ya kariakoo mtaa wa msimbazi ulizia duka linaitwa iphone center wao wana IPHONE zote unazozijua kwa old na latest na utapata kwa bei poa sana pia wanafanya deriver hadi mikoani bure kabisa namba za simu : 0683466602 :0683466602
 
Habari wana JamiiForums. Natafuta simu ya iPhone 11 Pro. kwa mwenye anajua wapi naweza kuipata kwa bei nzuri

mpigie 0652472486 upate brand new zenye apple warraty kamwe usinunur sm mpya isiyo na warraty ya apple na huwa inapatikana ndan ya simu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mhh,watu siku hizi wako vizuri kwenye biashara...!
 
Mitandao ya kijamii ni mizuri kwa ajili ya kupata reference ya bei, na ushaurii mbali mbali n.k n.k

Ila ukifikia maamuzi sasa ya kuzama mfukoni hasa kwa simu za gharama....

Nenda dukani direct, na usiende duka moja.
Kama ilivyo huku mtandaoni...Nako huko kafanye survey ya kutosha... Na nashauri km lengo ni kufanya survey epuka kufanya hivyo pesa ikiwa mfukoni....Utaishia kununua kwenye duka hilo hilo la kwanza....

Sio mbaya... na haimaanish km duka la kwanza kwenda na ukanunulia hapo hapo et utapata famba au kwa bei ya juu... La hasha ni ushauri tuu ili kujiridhsha umepata the best at the best price...

Waweza hata utoke duka la kwanza uzunguke mengine weee....Mwishowe urudi pale pale.
 
Iphone 11pro - 64GB -1,500,000
Iphone 11pro max -64GB - 1,800,000
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…