Nashangaa sana wanunuaji wa magari wananua gari kwa namba/mileage na si ubora!! Mie nashauri nunua gari kwa kuangalia ubora,kuna gari naziona zina namba A lakini bado zipo katika hali nzuri sana kuliko hata hizo D zenu ambazo zinatoka japani zikiwa na grade ya mwisho kabisa au utasikia mtu iwe chini ya km 60000 hawajui town hata ukitaka gari yenye km 5000 unapata lakini akili kumkichwa.