habarini wadau nilikuwa na root tecno p3 nimeweza kudownload poot also nikadownload ministro 2 playstore lakini ninapojaribu kuapu date libraies napata huu ujumbe INVALID QT VERSION naomba mnisaidie hapa nafanyaje asanteni sana
Samahan mkuu, na mi natumia aina hiyo ya sim, hiv kuRoot ndo kuongeza phone memory au nini, mana niliiona sehem lakin sikuilewa. Na unaipataje hum kwenye sim..?
habarini wadau nilikuwa na root tecno p3 nimeweza kudownload poot also nikadownload ministro 2 playstore lakini ninapojaribu kuapu date libraies napata huu ujumbe INVALID QT VERSION naomba mnisaidie hapa nafanyaje asanteni sana
Utakuwa either umeupdate files kadhaa na QT libraries hazijawa updated au VV.
QT ni Libs zinazotumika kutngeneza UI.
Soln: Either Roll back au tafuta namna ya kuziweka into same compatible versions kati ya executables and Libs.
Situmii Techno so that is the end of my help, sadly!