Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua..
Cc.
Mwl.RCT
Otorong'ong'o
-Da'Vinci
Mkuu rejea tena tuko wengi nahitaji humu....Tumia
[quo te] ........... [/qu ote]
Kila unapo taka kupa- break
Kwenye quote usiweke hiyo space
Mkuu mbona hujaeleweka?Tumia
[quo te] ........... [/qu ote]
Kila unapo taka kupa- break
Kwenye quote usiweke hiyo space
HAHAAAAAAAAA
Nimejaribu tuniko najaribu ila naangukia k
Pua na mdomo..
M
Mkuu mbona hujaeleweka?
Mm mnona inakataa nielekeze plz...
Mhhhh
Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaa mwalimu gani wewe..KWANZA BONYEZA NENO QUOTE KISHA REPLY KWA KUFATA HATUA ZA PICHAN
Fanya kama nilivyofanya hivyo pichan
View attachment 679862
Nilipoipost ikawa hivi
View attachment 679863
Kwendraaaaaaaaaaaaaaaaaa mwalimu gani wewe..
Umeweza mkuu?Mie nmejaribu kwa kutumia simu mkuu.
Ndio imewezekana, kama inaonekana kwenye post yangu iliyopitaUmeweza mkuu?
Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.Ndio imewezekana, kama inaonekana kwenye post yangu iliyopita
Ahaaa! Sikuelewa vizuri shida yake...nashukuru umenielewesha. Ila sidhani kama ni ngumu kiiivyo[emoji16]Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.
Wewe umekuquote post za watu wawili tofauti.
Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja halafu uigawe sehemu ndogo ndogo then unaipost.
Angalia post za Numbisa na Daby hapo juu ndio wamefanya inavyotakiwa
Hapana, hujafanya kama inavyotakiwa.
Wewe umekuquote post za watu wawili tofauti.
(/QUOTE)
Hapa inatakiwa uquote post moja ya mtu mmoja halafu uigawe sehemu ndogo ndogo then unaipost.
[/QUOTE)
Angalia post za Numbisa na Daby hapo juu ndio wamefanya inavyotakiwa]