1. Alichokuwa anafanya ni kuupdate uzi wake kwa kuchukua comment anazoona zinamfaa yani Nenda kama unataka mquote mtu then Hold(right click) nenda 'copy all' halafu rudi back nenda kwenye original post yako hapo juu then Edit halafu chini ya uzi uliouleta ipaste hiyo comment Ni kama wewe uamue kucopy comment ulizoona zimekusaidia halafu uende kuuedit uzi wako uzipaste chini yake!.
2. Moderators wa majukwaa huwa automatic wanafanya kuupdate uzi husika wao wenyewe kwa kuangalia post ipi imesaidia swali lililoulizwa na mleta mada!.
Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua..
Cc.
Mwl.RCT
Otorong'ong'o
-Da'Vinci
Usijali utajuzwa tu""
ngoja nikuonyeshe
Kama hivi?
[emoji41][emoji41]Usijali utajuzwa tu""
Mhhhhngoja nikuonyeshe
Kama hivi?
Usijali utajuzwa tu""
Nadhani ndo km hvSalute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua..
Cc.
Mwl.RCT
Otorong'ong'o
-Da'Vinci
Usijali utajuzwa tu""
Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moja
al maarufu kama
Yeeeeeesiiiiiii kaka nielekeze sasa
nafikiri ushaelewa.Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes
-Da'Vinci
Mie nmejaribu kwa kutumia simu mkuu.Hii kitu nadhani ipo applicable kwa kutumia Browser, ngoja wajuzi waje watuelekeze
Salute Comrades..
wakuu naombeni mnifunze nami jinsi ya ku Quote mara nyingi post moj al maarufu kama Multi Quotes nifahamisheni hatua kwa hatua..
Cc.
Mwl.RCT
Otorong'ong'o
-Da'Vinci