D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,880 Reaction score 12,635 May 13, 2018 #1 kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki.
kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki.
Technologiest JF-Expert Member Joined Feb 8, 2017 Posts 3,727 Reaction score 4,060 May 13, 2018 #2 dos.2020 said: kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki. Click to expand... Subiri mkuu,itakuja kwa kasi sana
dos.2020 said: kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki. Click to expand... Subiri mkuu,itakuja kwa kasi sana
Madame S JF-Expert Member Joined Mar 4, 2015 Posts 17,179 Reaction score 34,529 May 13, 2018 #3 Punguza kujipa stress itatoka tu
DRIVE Senior Member Joined Aug 14, 2014 Posts 145 Reaction score 112 May 13, 2018 #4 dos.2020 said: kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki. Click to expand... Usiwe na haraka itatoka tuu kuna muda mwingine tuziache hormone zifanye kazi zenyewe maana sometime hali ya hewa au chakula au bacteria huweza kuchelewesha mp lakini tulia kwa sasa mpk itakapotoka yenyewe bila kulazimisha
dos.2020 said: kipindi cha period kimeingia, mazingira yote tayari yapo, maumivu ya tumbo pia tayari lakini damu haitoki. Click to expand... Usiwe na haraka itatoka tuu kuna muda mwingine tuziache hormone zifanye kazi zenyewe maana sometime hali ya hewa au chakula au bacteria huweza kuchelewesha mp lakini tulia kwa sasa mpk itakapotoka yenyewe bila kulazimisha
S Sumu JF-Expert Member Joined Nov 5, 2010 Posts 7,041 Reaction score 6,311 May 13, 2018 #5 Weka picha ya chuchu zako ili nione zilivyo nikupe ushauri wa uhakika. Rangi ya chuchu ina-Play role kubwa kwenye hilo tatizo lako.
Weka picha ya chuchu zako ili nione zilivyo nikupe ushauri wa uhakika. Rangi ya chuchu ina-Play role kubwa kwenye hilo tatizo lako.
D dos.2020 Platinum Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,880 Reaction score 12,635 May 13, 2018 Thread starter #6 Je hapana dalili za uja uzito hapa?