Msaada, naomba ramani ya nyumba.

EXPULSION

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2015
Posts
407
Reaction score
303
Wakuu habari zenu,

Naomba msaada mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, na vitu vingine kama jiko, dinning, store,sitting, public toilet. Ila vyumba hivyo visiwe vimekaa korido moja na master bedroom

Asanteni
 
Ramani ipo aisee tena nyingine ndio naimalizia hapa,so unataka for free au kuna kahela kidgo utakatoa?
 
Wakuu habari zenu,

Naomba msaada mwenye ramani ya nyumba yenye vyumba vitatu, na vitu vingine kama jiko, dinning, store,sitting, public toilet. Ila vyumba hivyo visiwe vimekaa korido moja na master bedroom

Asanteni
Tafuta pia Google, YouTube na play store kuna ramani nyingi sana. Waweza chagua uipendayo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…