Msaada naomba kuuliza

Jerry95

New Member
Joined
Dec 14, 2020
Posts
4
Reaction score
3
Miezi mitano iliyopita nilinunua simu aina ya samsung S9 plus kumbe hii simu ni refablished ina tatizo la network ukiweka laini karibia zote mda mwingine inaandika emergence mara mtandao unasoma.

Afadhali kidogo laini ya halotel ndo ina kubal ila sometime nayo mtu akikupigia naambiwa sipatikani, nikarudishadukani nikapewa nyingine nayo hivo hivo hadi leo natumia hii simu ila mtandao haupo vizur kabisa, hii simu nakubal nimepigwa,nimepoteza lak 9 na 50 hata miezi sita bado ina nikosesha mambo mengi sana mda mwingi naambiwa sipatikani.

Naomba msaada kama kuna mtu anatumia au alishawahi kutumia SAMSUNG M51 anipe feedback iko poa au nayo inazingua, maana nishapoteza pesa nyingi kwa hiyo naogopa sana, kama kuna mtu anatumia au rafiki yake anatumia au ulishawahi kutumia nisaidieni.
 
Inawezekana umepewa model ya US ndio huwa zinasunbua network huku. Tuma screenshot ya software information kwenye about phone

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Pole sana ndugu. Hiyo simu inaonekana frequency zake nyingi sio za Tanzania (sio global version) kwa hiyo inaotea otea baadhi ya frequency inayosupport na inayoendana na ya Tanzania.

Hiyo M51 unayotaka kuichukua ni Mpya au mtumba?

Kama ni mpya na inauzwa maduka ya simu mpya basi itakuwa global version.

Ila kama ni mtumba hapo kuna wasiwasi na hauwezi kulinganisha na ya mtu mwingine.
 
ni mpy hiyo M51 lakini sijawahi kuona mtu anatumia labda ningepata mtu ambaye anatumia angeniambia ipoje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…