kimoda OG Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5 Reaction score 1 Oct 19, 2017 #1 Samahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo
Samahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo
R Ramh Member Joined Oct 3, 2017 Posts 9 Reaction score 0 Oct 19, 2017 #2 kimoda OG said: Samahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo Click to expand... Ina depend kama coz unayohamia chuo husika haijaa!!!...somtyms inakamlolongo
kimoda OG said: Samahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo Click to expand... Ina depend kama coz unayohamia chuo husika haijaa!!!...somtyms inakamlolongo
kimoda OG Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5 Reaction score 1 Oct 19, 2017 Thread starter #3 Ramh said: Ina depend kama coz unayohamia chuo husika haijaa!!!...somtyms inakamlolongo Click to expand... Mkuu mlolongo inaweza kuchukua kama muda siku ngapi hivi au kuna hela inahitajika Asante
Ramh said: Ina depend kama coz unayohamia chuo husika haijaa!!!...somtyms inakamlolongo Click to expand... Mkuu mlolongo inaweza kuchukua kama muda siku ngapi hivi au kuna hela inahitajika Asante
Makukwe Member Joined Oct 16, 2017 Posts 93 Reaction score 80 Oct 19, 2017 #4 hakuna hela dogo easy tuu unaandika barua unahama kama nafasi zipo. Kama umechaguliwa Udsm mkianza orientation mtaambiwa jinsi ya kuhama
hakuna hela dogo easy tuu unaandika barua unahama kama nafasi zipo. Kama umechaguliwa Udsm mkianza orientation mtaambiwa jinsi ya kuhama
Dr Dre JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 2,669 Reaction score 2,855 Oct 19, 2017 #5 nami nataka nikifika nihame asee tupeni mwangaza kidogo
Lutter Member Joined Dec 23, 2008 Posts 78 Reaction score 47 Oct 19, 2017 #6 kimoda OG said: Samahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo Click to expand... Mkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofauti
kimoda OG said: Samahani wakuu kama kuna uwezekano wa kuhama kozi na kama upo ni hatua gani unachukua ikiwa vigezo vyote vya kozi unsyohamia unavyo Click to expand... Mkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofauti
U unque Member Joined Oct 13, 2017 Posts 22 Reaction score 6 Oct 19, 2017 #7 Lutter said: Mkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofauti Click to expand... degree
Lutter said: Mkuu weka vizuri ueleweke, unahama Course, degree program au Faculty?. Kumbuka hivi ni vitu tofauti Click to expand... degree
kimoda OG Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5 Reaction score 1 Oct 20, 2017 Thread starter #8 unque said: degree Click to expand... I mean kuhama kwaa degree program 'mkuu
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Oct 20, 2017 #9 form six walio wengi sijui neno faculty wanalielewa vipi!!!!!