Msaada namna ya ku-unlock Vodafone

kababaa1

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
650
Reaction score
442
Wakuu salamaa? Nimenunua Vodafone inatumia voda tu. Nataka nitumie mitandao yote. Natanguliza shukran
 
Vodafone model gani, sema utaelekezwa hapa hapa.
 
Simu yako ya vodafone kama ni kati ya vodafove v785, v875, v685 wasiliana na huyu jamaa 0784234391 unamtumia IMEI na model ya simu yako anakutumia unlock code ndani ya dakika kumi unaziingiza hapo unakua na uwezo wa kutumia mitandao yote. Gharama anafanya ni sh 8,500
 
na gharama ya v685 kavodafone kadogo kale wakuu sh ngapi
 
Mh mbona ghali saña yangu nimeifungua kwa pound 2 tu online
 
Pia iko software ya kuunlock kama umajua computer vizur sema nikupe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…