Umezoea simu za kichina eeh ukiinunua kimagumashi ikiwa na password unaenda Kariakoo kuifungua kwa dk 2 tuu. Huyo ni Mmarekani Baba utahangaika sana na mimi nakushauri uitupe na usiiweke ndani kabisa maana muda si mrefu utakamatwa na mwenye simu then utapata majanga mengine makubwa zaidi ya kuiba simu.
Basi natafuta mteja aje nimuuzie kama spear,,, kwa anayetaka tafadhali tuwasiliane
Asaante kwa ushauri , ila sio simu ya wizi
Kuna suala la kukuambia "Ipad disable connect to itune" bahati mbaya ile computer uliyofanyia back up mekufa au imeibiwa lakini unakumbuka password zako na kila kitu inakuwaje?