Naombeni mnisaidie connection hata nipate mahala pa kufanya field, nategemea kuanza field November sema ndo barua zangu mpaka Sasa hazijibiwi msaada wenu tafadhali..nasoma Economics nipo Dar!
Habari wapendwa, naombeni mnisaidie connection hata nipate mahala pa kufanya field, nategemea kuanza field November sema ndo barua zangu mpaka Sasa hazijibiwi msaada wenu tafadhali..nasoma Economics nipo Dar!
Kwa kuwa ni Ke nitafight kukutafutia sehemu ambayo ni jirani na mimi ili niwe nakupiga jeki hata mambo madogo madogo, maana nyie watoto wa kike inabidi tuwasaidie.