Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

Ulitaka iweje?
 
Mi simtaki tena huyo mwanamke. Nataka tu amani basii. Mambo yaishe
 
Nimekuelewa ila hapa sio kuna kashfa ila ni unaambiwa kitu really kabisa...

Mungu akuepushe na mabaya yote ndgu yangu....daaaah pole sana kumbe hii mambo ya mafuta inatishia amani aiseee..

Pole
 
nadhani jamaa anaogopa sababu anahisi kila mwanaume ni ki ng'ang'anizi kama alivyo yeye
Mke wa mtu ni mtamu akiwa kwa mumewe, kuna ile kitu baadhi ya wanaume wanayo ya kujisikia kidume akiwa anatembea na mke wa mtu, yaani akili yake inamuambia yeye ni mwanaume kuliko mumewe. Akishaachiwa awe wake utamu wote unapotea na hiyo hali inapotea anaanza kuona mambo katika uhalisia na si mihemko ya kujiona kidume.
 
Acha kuwapangia Watu namna ya kukushauri, ulipokuwa unakula mali za Watu pia uliwashirikisha kuomba ushauri? Pumbavu
 
"Flying love is imagination"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…