Msaada(Mini Laptop)

Feiaidan

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
237
Reaction score
130
Nina mini laptop ya hp ambayo nimeitumia kwa miaka kadhaa sasa.

Hivi karibuni imekuwa ikiwashwa screen yake inaonyesha mistaristari tu, mara ya blue, mara myeusi. Hata sasa hakuna kinachoonekana zaidi ya mistaristari tu.

Tatizo ni screen imeharibika au ni ndani(hardware)?
Hakajaanguka wala nini, kameanza tu hilo tatizo.

Watu wa hardware, naomba kujuzwa nini kimekorofisha na kama kanaweza kutengenezaka au la ili nijichange kwaajili ya kengine.

ASANTE.
 
Mkuu hapo tatizo ni motherboard if you want to prove you can test that display in another machine, hilo tatizo linarekebishika nipe model ya hiyo mini or unaweza kunichek kwa 0784234391 expert computer technician
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…