Nenda Hospitali kubwa ili ukawaone Madaktari Bingwa wakufanyie uchunguzi wa kina, ili kubaini tatizo hasa linalo kusumbua.Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka asubuh ngoz ya korodan inapopata ubarid ngozi inajikusanya inachoma dawa nime2mia za fangasi za alegy chache cream kama zote ila korodan hazionyesh kama kuna chochot wala alam hakun panawasha kiax panakata ila kuchoma ni kl muda uti sina ukwmw sida dam hain shida mkojo pia upo saw sijui tatizo msaada wanandugu msaada
Nimepita kwa baadh ya madaktar bingwa wao wawanaixia kuandika dawa 2 baxNenda Hospitali kubwa ili ukawaone Madaktari Bingwa wakufanyie uchunguzi wa kina, ili kubaini tatizo hasa linalo kusumbua.
Ni makosa makubwa kunywa madawa makali ya antibiotics, kwa kujinunulia tu kiholela kwenye maduka ya madawa, au kwa maelekezo ya madaktari ambao siyo Mahiri kwenye magonjwa sugu.
Kwa iyo na spray pale penye tatizo sindio
Nenda kwenye hospitali kubwa kama Muhimbili, Benjamin Mkapa, nk ili ukafanyiwe vipimo sahihi kwa lengo la kubaini chanzo hasa hilo tatizo.Nimepita kwa baadh ya madaktar bingwa wao wawanaixia kuandika dawa 2 bax
Nenda ukamsaidie kupulizia basi maana unaonekana mzoefu wa kupulizia Rungu kwenye Korodani
Mada hizi mbona tumeshajadili humu?Mpak sasa xijui nianzie wap ni ixhie wap korodan zang zina sumbua nisha 2mia idad kubw ya madaw ya hospital mpak nikitoa jasho ni dawa tu nikitembea korodan zinachoma yaan burning pale napo amka asubuh ngoz ya korodan inapopata ubarid ngozi inajikusanya inachoma dawa nime2mia za fangasi za alegy chache cream kama zote ila korodan hazionyesh kama kuna chochot wala alam hakun panawasha kiax panakata ila kuchoma ni kl muda uti sina ukwmw sida dam hain shida mkojo pia upo saw sijui tatizo msaada wanandugu msaada
Upup?Upupu je?
Tumia sunflower oil ambayo umeitumia kukaangia kitu mfano chips.Tayal kaka
Af utakuta ni mtu anategemewa kua kiongozi wa familia,, kama mtu hana chakukoment si anakaa kimya au ndio mradi uonekane umekoment.Wewe Korodani zako umewahi kuzipulizia na Rungu?
Kimazingra nipo mblal muhmbil kufika so leoNenda kwenye hospitali kubwa kama Muhimbili, Benjamin Mkapa, nk ili ukafanyiwe vipimo sahihi kwa lengo la kubaini chanzo hasa hilo tatizo.
Af utakuta ni mtu anategemewa kua kiongozi wa familia,, kama mtu hana chakukoment si anakaa kimya au ndio mradi uonekane umekoment.
Zingatia ushauri huu...na hii nakuongezea.Hiyo ni PUMBU JERO
Maji unayooga yatakua na FANGASI, BACTERIA n..k, kama ni ya kisima. Hama huko nenda penye maji ya bomba.
Kama huwezi hama, chemsha maji ya kuoga yawe moto kabisa kama ugali, acha yapoe yawe vuguvugu then oga
Na UFUE BOKSA/ CHUPI/ KAPTULA unayovaa ndani
Udugu una hatari na korodani zawatu wewe haha!Zipulizie dawa ya Rungu inaua wadudu wanaoruka na kutambaa chap
inaonekana unaelimu kubwa sana juu ya unyunyuzaji wa dawa na viwatilifu bibie[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Za bwana angu nilizipulizia miwasho ikamuisha
Udugu una hatari na korodani zawatu wewe haha!
Weee sema kweli udugu??? Lol Sasa si itakua hatari hio make kama inaua wadudu huko kwa korodani kutakua Salama kweli?Afu ni dawa kweli udugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye ajaribu alete mrejesho
inaonekana unaelimu kubwa sana juu ya unyunyuzaji wa dawa na viwatilifu bibie